iqna

IQNA

ulemavu wa macho
Qur'ani Tukufu katika maisha
TEHRAN (IQNA)-Watumizi wa mitandao ya kijamii wanaendelea kusambaza video ya sherehe ya harusi ya wanandoa wa Misri, ambayo ilianza kwa bwana harusi mwenye ulemavu wa macho akisoma aya katika Sura Rum ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476506    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/02

Qiraa bora
TEHRAN (IQNA) – Muhammad Irshad Murabaei ni qari mwenye ulemavu wa macho nchini Algeria ambaye pia ni imamu wa sala nchini humo.
Habari ID: 3476393    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/12

Harakati za Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) – Hajj Hassan Juneidi ni mwanamume wa Misri ambaye, pamoja na mkewe, wameanzisha kituo cha kutoa misaada kwa ajili ya kufundisha Qur’ani kwa watoto wenye ulemavu wa macho .
Habari ID: 3476200    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/05

Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Abdullah Mustafa, qarii wa Qur'ani Tukufu Misri mwenye ulemavu wa macho amehofadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu kwa kusikiliza kupitia redio na simu yake ya mkononi.
Habari ID: 3475667    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/23

TEHRAN (IQNA)- Roa'a al Sayyed, msichana mwenye umri wa miaka 11 aliye naulemavuu wa macho nchini Misri amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu kwa muda wa miezi 18.
Habari ID: 3474744    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/30

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur'ani maalumu kwa wanawake wenye ulemavu wa macho yameandaliwa hivi karibuni nchini Iraq.
Habari ID: 3474528    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/08

TEHRAN (IQNA) – Zuhra Darzi Alwash ni binti kutoka Syria anayeishi katika kambi ya wakimbizi wa ndani ya nchi kaskazini magharibi mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3473602    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/29

TEHRAN (IQNA) – Kituo cha kuhifadhi Qur'ani Tukufu maalumu kwa watu wenye ulemavu wa macho kimefunguliwa nchini Russia katika eneo la Dagestan mapema wiki hii.
Habari ID: 3472138    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/19

TEHRAN (IQNA)- Msichana Mmisri mwenye ulemavu wa macho na ambaye pia aliugua saratani amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3471593    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/14

TEHRAN (IQNA)-Hafidh wa Qur’ani mwenye ulemavu wa macho amesema kuhifadhi Qur’ani Tukufu huwasaidia wenye ulemavu wa macho kuishi maisha mazuri.
Habari ID: 3471582    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/04

TEHRAN (IQNA)-Mtoto mwenye ulemavu wa machi Misri amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamlifu kwa lugha asi ya Kiarabuna pia kwa lugha za Kiingereza na Kifaransa.
Habari ID: 3471450    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/01

TEHRAN (IQNA)- Watoto watu wa familia moja wamehifadhi Qur’ani kikamilifu nchini Misri pamoja na kuwa wamezaliwa wakiwa na ulemavu wa macho .
Habari ID: 3471424    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/10

TEHRAN (IQNA)-Duru ya Tatu ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wenye Ulemavu wa Macho imepangwa kufanyika hapa nchini Iran mwezi Aprili.
Habari ID: 3471358    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/31